SHAMRASHAMARA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amani.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho hayo.

Askari wa Kikosi cha Makomandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa
maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa
Amani tarehe 12 Januari, 2024.
Askari wa Kikosi cha Makomandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa
maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa
Amani tarehe 12 Januari,2024.
Makomandoo wa

maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa
Amani Januari 12,2024.
Makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa maadhimisho hayo..
Askari wa Kikosi cha Makomandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa
Amani.
Mmoja wa Makomandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa
maadhimisho hayo ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Komandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akipita mbele ya Jukwaa Kuu akiwa amevaa vazi la kujikinga na adui wakati wa
maadhimisho hayo.
Askari wa Kikosi cha Makomandoo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita kwa umahiri na ukakamavu mkubwa mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye Uwanja wa
Amani Januari 12, 2024.
Mmoja wa Askari wa Kikosi cha Makomandoo wa

No comments