RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI TAMASHA LA WANAWAKE SEKTA YA FEDHA, KIZIMKAZI, ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini kwa ajili ya uzinduzi
wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) katika hoteli ya Kwanza,
Kizimkazi Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Tamasha hilo.
Baadhi ya Viongozi
mbalimbali waliohudhuria Tamasha hilo.
Baadhi ya Wadau wa Chama
cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha hilo.
Baadhi ya Wenza wa Viongozi
pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha hilo.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbalimbali
wakiwa kwenye Tamasha hilo.
Baadhi ya Wadau wa Chama
cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye
Tamasha hilo la Wanawake Sekta ya Fedha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wageni
mbalimbali kabla ya kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania
(TAWiFA), Kizimkazi, Zanzibar, tarehe 14 Machi, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa
kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi,
Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake
Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives
(MIF) pamoja na TIRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine wakati wa
Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Tamasha hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Fatma Karume
Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume mara baada
ya kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi,
Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mama Fatma Karume Mjane wa
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume mara baada ya
kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi,
Zanzibar.
No comments