DKT. BITEKO MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA USHIRIKI WA WATANZANIA KWENYE UCHUMI NA UWEKEZAJI
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Bi Beng'i Issa akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo picha) kuhusu kongamano la nne la Ushiriki wa Watanzania kwenye uchumi na Uwekezaji (Local Content) litakalofanyika kuanzia tarehe 27 hadi 28 mwezi huu ambalo hufanyika Kila baada ya miaka miwili , mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati , Dkt Dotto Mashaka Biteko .
No comments