Breaking News

AMSHA AMSHA MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2024 WILAYA YA ITIGI

Vijana wa Hamasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Itigi mkoani Singida wakinogesha mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Julai 5, 2024
Watoto wa Halaiki nao hawakuwa nyuma kupamba mapokezi hayo ya Mwenge wa Uhuru.

 Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Mlowa akiwaongoza Wanafunzi kunogesha mapokezi ya Mwenge huo wa Uhuru. (PICHA ZOTE NA DOTTO MWAIBALE)

No comments