Breaking News

MAKAMU WA RAIS AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MALAGARASI - UVINZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Viongozi pamoja na Watendaji mbalimbali wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Viongozi pamoja na Watendaji mbalimbali wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza akiwa ziarani mkoani Kigoma Julai 8, 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza (Kilometa 51) wakati akiwa ziarani mkoani Kigoma julai 8.2024.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza (Kilometa 51) wakati akiwa ziarani mkoani Kigoma julai 8.2024. Katikati mwenye kizibao cha bluu ni Waziri wa Ujenzi, Innocenti Bashungwa.

Muonekano wa barabara hiyo inayojengwa.
Muonekano wa barabara hiyo.
Ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea.


No comments