MAKAMU WA PILI RAIS ZANZIBAR AKUTANA NA WATAALAMU WA AFYA
Na Mwandishi Wetu, Zanzaibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Afya kuhusu utolewaji wa huduma mbali mbali za Afya wakati alipotembele mabanda ya Maonesho katika Kongamano la Kumi na Moja(11) la Tanzania Health Summitt kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan lililofanyika katika Ukumbi wa International Trade Fair Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.
No comments