MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ASHIRIKI KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS MWINYI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki
katika Kongamano la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dkt Hussen Ali Mwinyi kwa kutimiza Miaka Minne(4) ya Uongozi wa
Serikali ya Awamu ya Nane(😎 lililoandaliwa na Jumuiya
ya Wazazi wa CCM Tanzania lililofanyika katika Viwanja vya Verde Marina Mtoni
Zanzibar.
No comments