Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza
na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na viongozi wengine waliohudhuria katika
mafunzo ya usimamizi wa Biashara ya Kaboni yaliyofanyika katika Ukumbi wa Hotel
ya Verde Mtoni Zanzibar.
No comments