RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MSIKITI WA AL GHAITH, MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, mkoani Morogoro kwenye hafla iliyofanyika Novemba 25, 2024.
Ukaguzi wa ujenzi wa msikiti huo ukifanyika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria uzinduzi huo.
Wanaume wa Kiislamu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wanawake wa Kiislamu wakiwa kwenye hafla hiyo.
Muonekano wa Msikiti huo.
No comments