MKURUGENZI MANISPAA YA GEITA YEFRED MYENZI AKIONGOZA BARAZA LA MADIWANI MEI 13, 2025

 

Mkurugenzi wa Manispaa ya Geita, Mhe.Yefred Myenzi akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa hiyo kilichoketi Mei 13, 2025 kwa lengo la kupokea taarifa ya robo mwaka. 

No comments