SHAMBA LINAUZWA: LIPO KATA YA PANZUO TARAFA YA MKAMBA, MKURANGA MKOA WA PWANI
Eneo: Hekari 50
Bei Shilingi Milioni 2 kwa heka moja
Lipo kilometa 15 kutoka Kimanzichana na ni mwendo wa dakika
30 kutoka barabara kuu ya lami ya Dar es Salaam kwenda Mtwara.
Mazingira ya shamba ni tulivu na yanafaa kwa kilimo na
uwekezaji.
Umiliki wake ni wa kudumu na hakuna mgogoro
“ Wahi Sasa”
Kwa mawasiliano piga simu namba 0717-389688 na 0687347676.
No comments