AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI ATUNUKU KAMISHENI
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akikagua Gwaride
rasmi la kumaliza Mafunzo la Maafisa Wanafunzi wa
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye sherehe zilizofanyika
katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.
Maafisa Wanafunzi wakivalishana vyeo mara
baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe zilizofanyika katika
Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika viwanja
vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.
Maafisa Wanafunzi wakivalishana vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025
Rais Samia akikagua Gwaride maalumu
Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 22 Novemba, 2025.


















.jpg)




No comments