MKURUGENZI MAWASILIANO YA RAIS IKULU, BAKARI MACHUMU AKUTANA NA WAHARIRI
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw.
Bakari Machumu akizungumza na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu
Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maoni yao kwa ajili
ya kuboresha masuala mbalimbali ya Mawasiliano baina ya Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais, Ikulu na Vyombo vya Habari, tarehe 26 Novemba, 2025 Mkutano na Wahariri ukiendelea.
Maswali yakiulizwa
Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Salome Kitomari akiuliza swali.
Mwandishi wa habari nguli, Theophil Makunga akiuliza swali.
Wahariri wakiwa kwenye mkutano huo.
Maswali yakiulizwa
Mwandishi wa Habari na Mhadhiri wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam Egbert Mkoko, akichangia jambo kwenye mkutano huo.














.jpg)




No comments